Monday, March 5, 2012

Saturday ilikuwa ni mahari ya rafiki yangu wa karibu sana Nakazaeli Aumwisiye..mtoto wa Kinyakyusa..alipendezajee..

Maombezi....kwa maharusi watarajiwa,,,

 <><>
<>
<><>
Kwa jina la Yesu ....ndoa yetu itembelewe na upako...tupendane milele...washindwe na walegee wenye chuki binafsi...ameeeen..


Naki and  her Aunt

naki and  her sisy  Atu.,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Msosi...........jamani


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...