Friday, February 24, 2012

wahida's kitchen party




mtoto akiingia ukumbini...........du wa ukweliii..

wakiwa na matroni wake wa ukweliii.....

akisalimia ndugu jamaa na marafiki mpooo...
katika pozi

hapa matroni sijui anaangalia nini jamani..mtoto macho.....

mama yake wa ukweliii...umependeza sanaa

dada Zenat nae alituwakilisha................

mama ngunangwa akismile duu...yeye katoka juzijuzi tuu bado mpyaaaaaa..


pozi la ukweliiii..................









mshono mzuri mno nitakutafuta.................










mmeona mambo......du huyu fundi kiboko

mama rypan nakuaminia...............umependeza mno



shostito.............looking very pretty


kitu from arabian du wa ukweli......ndiye mpambaji wetu  big up





me mhhh nahitaji diet............



shost nae sooon................


















mama akitoa  maneno kidogo kwa mwanae wahida



kamati kuu,,,,inakodishwa



mambo ya selina fernandes  ....


Keki kutoka kwa monika .....jamani hii keki ni tamu mnoooo




MWISHO WA KUNUKUUU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...